Mikoa ya pwani imejaliwa kuwa na mchanga ambao unawarahisishia katika ujenzi lakini kwa mkoa wa Arusha kuna aina nyingi ya michanga ambayo inatumika katika ujenzi.Lakini pia udongo katika eneo kubwa la Arusha unaweza kutumika katika kufyetulia au kutengenezea matofali ya kuchoma ikichanganywa na mchanga unaopatikana kwenye kingo za mito.Angalia picha hii hapa kama ilivyopigwa na Brother Bildad.
Wakubwa wa kazi wakichochea moto kuivisha matofali katika kiwango kinachotakiwa.Asante kwa DISCOVERY ARUSHA
Saturday, June 15, 2013
TEMBO MWENYE MBWEMBWE
Ni ajabu na kweli lakini unatakiwa ujioneee mwenyewe jinsi tembo wakati mwingine wanapokuwa na madoido.Picha hii hapa imemnasa tembo huyu akiwa anakunywa maji kwa mbwembwe namna hiii.
Asante sana kwa Brother Alex !!!!!!!!!!
Asante sana kwa Brother Alex !!!!!!!!!!
Thursday, June 13, 2013
BURUDANI NDANI YA LARUSA
Ilikua ni siku ambayo siyo ya kusahaulika ni katika birthday party ya dada yetu Upendo ndani ya Empire spot.Burudani ilivurumishwa na mkali Hip hop Larusa, Golden eye pamoja na Reggae singer Nikko P.Jaribu kufikiri ladha ya muunganiko wa Reggae na real Hip hop.Picha ya chini inamuonyesha Golden eye kwenye kipaza na Nikko P mwenye gitaa wakipiga live Afrika moja.
HILI NDILO KANISA LA KILUTHERI ILBORU
Ilboru Lutherani ni kanisa la kwanza kabisa la kilutheri mkoani Arusha.Picha ya juu inaonyesha waumini wakiwa wanatoka kwenye ibada miaka hiyo jengo la kanisa likiwa na muonekano huo hapo.
Juu ni mnara uliopo pembeni ya jengo la mwanzo la kanisa Ilboru Lutherani.Ni mnara wa Jubilee ya miaka 100 ya uwepo wa injili.ulijengwa mwaka 2004.
Hivi ndivyo jengo la mwanzo la kanisa la Ilboru Lutherani linavyoonekana sasa
Juu ni mnara uliopo pembeni ya jengo la mwanzo la kanisa Ilboru Lutherani.Ni mnara wa Jubilee ya miaka 100 ya uwepo wa injili.ulijengwa mwaka 2004.
Hivi ndivyo jengo la mwanzo la kanisa la Ilboru Lutherani linavyoonekana sasa
MAISHA YA SIMBA WAKIWA MWEZI WA ASALI
Subscribe to:
Posts (Atom)