Thursday, June 13, 2013

HILI NDILO KANISA LA KILUTHERI ILBORU

 Ilboru Lutherani ni kanisa la kwanza kabisa la kilutheri mkoani Arusha.Picha ya juu inaonyesha waumini wakiwa wanatoka kwenye ibada miaka hiyo jengo la kanisa likiwa na muonekano huo hapo.
 Juu ni mnara uliopo pembeni ya jengo la mwanzo la kanisa Ilboru Lutherani.Ni mnara wa Jubilee ya miaka 100 ya uwepo wa injili.ulijengwa mwaka 2004.
Hivi ndivyo jengo la mwanzo la kanisa la Ilboru Lutherani linavyoonekana sasa

No comments:

Post a Comment