Mikoa ya pwani imejaliwa kuwa na mchanga ambao unawarahisishia katika ujenzi lakini kwa mkoa wa Arusha kuna aina nyingi ya michanga ambayo inatumika katika ujenzi.Lakini pia udongo katika eneo kubwa la Arusha unaweza kutumika katika kufyetulia au kutengenezea matofali ya kuchoma ikichanganywa na mchanga unaopatikana kwenye kingo za mito.Angalia picha hii hapa kama ilivyopigwa na Brother Bildad.
Wakubwa wa kazi wakichochea moto kuivisha matofali katika kiwango kinachotakiwa.Asante kwa DISCOVERY ARUSHA
No comments:
Post a Comment